zimepita kama wiki mbili hivi jamaa alinitafuta WhatsApp akajitambulisha porojo nyingi nikamdodosa kama ulivyosema ila hakutaka kuwa wazi zaidi ya kusema niwatembelee ofisini kwao ili nijue zaidi nikasema sawa ndo ikapita hadi leo sijawahi kwenda kila siku jamaa ananitumia meseji za "Good morning" nampotezea tu,siku akijua anapoteza muda wake ataacha.Jana kuna rafiki yangu alinambia ana project fulani anayofanya na wa-Malaysia kwa hiyo mimi kama rafiki yake kipenzi angependa tu-shee hii fursa.
Nlipojaribu kumdodosa ni aina gani hiyo ya project akakataa katakata kunambia kwa madai ya kwamba hayo yote ntayajua nikishafika ofisini.
Inshort mimi nina uelewa mpana wa hizi network marketing, na najua anaenda kupigwa, lkn ngoja niingie tuu niwasikilize.
Salamu kuu hapa ni GOODMORNING muda wote, yani ni kama kale ka salamu ka HI! ambako hakanaga muda wala saa.
Ntazidi kuwapa updates.
=====================================
Achievements zao simubza iphone na magari eti., utasikia wanakuambia utakuwa unakunjua dola tuu, halafu ofc zenyewe hazina hata bango.Msikilize. Akitaka ujoin, mwambie huna pesa na akukope hela yote ya kiingilio na utakuwa unamlipa tararatibu kadri unavyovuna mpaka deni liishe. Bila shaka atachomoa na urafiki wenu utadumu
Hawa jamaa wana njaa sanaALIKUJA MMOJA AKAWA ANANICHOREA VIKATUNI KATUNI MARA ITA WATU WATANO NAO WATANO WALETE WATANO..HALAFU KIINGILIO LAKI 5
MIMI HATA SIKUWA INTERESTED NILIKUWA NASUBIRI AMALIZE AONDOKE ZAKE HUKOO
😂😂😂😂😂😂
Hawa jamaa wana njaa sana
Hawa jamaa wana njaa sana
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] njaa hizi, mimi nilitwa bwanq na demu mmoja sasa nkajua kuna Job interview maana alikua ananipanga kweli.
Siku ikafika nkapigilia miparo yangu nkasema naenda kuua huko "Dress to impress" [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].
Niko njiani akanipigia mbona unachelewa, tutafunga hapa utakosa nafasi mzee nkakimbiza ndinga balaaa.
Kufika, naambiwa Good Morning [emoji3][emoji3][emoji3] aisee nilichoka nkasema haya mambo ya Jamii Forums leo nimekamatika.
[emoji23][emoji23][emoji23] goodmorning mkuu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] njaa hizi, mimi nilitwa bwanq na demu mmoja sasa nkajua kuna Job interview maana alikua ananipanga kweli.
Siku ikafika nkapigilia miparo yangu nkasema naenda kuua huko "Dress to impress" [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].
Niko njiani akanipigia mbona unachelewa, tutafunga hapa utakosa nafasi mzee nkakimbiza ndinga balaaa.
Kufika, naambiwa Good Morning [emoji3][emoji3][emoji3] aisee nilichoka nkasema haya mambo ya Jamii Forums leo nimekamatika.
[emoji3][emoji3][emoji3] Mkuu, Good Morning.[emoji23][emoji23][emoji23] goodmorning mkuu
Ilikuwaje mkuu? Alikufa au mlizinguana kisa utapeli?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] allience global hao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wao ni mwendo wa good morning hata jioni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nilipoteza rafiki kwa ajili ya hizo Mambo
Sent using Jamii Forums mobile app