Nimeitwa kwenye interview ya Udereva

Huo ndio usaili kwa vitendo baada ya kufaulu wa kuandika, ukifaulu hapo tena unaingia wa kuhojiwa.
Ila huo ni kigongo mdogo wangu yaani hapo waeza pagawa aisee.
Kibaya zaidi unaweza kukuta wana mtu wao mfukoni ila wengine mnasoteshwa ili kuhalalisha process
Ajira za Kibongo bongo tushajizoelea na si ajabu yule mtu wao hata robo ya huo msoto hapitii.
 
Ila huo ni kigongo mdogo wangu yaani hapo waeza pagawa aisee.

Ajira za Kibongo bongo tushajizoelea na si ajabu yule mtu wao hata robo ya huo msoto hapitii.
Huyo hawezi kusota, mnaosota manajikuta hamjaitwa na kubaki kujipa moyo kuwa huenda majina yamewekwa kwenye kanzidata ili baadae nafasi zikipatikana mpangiwe vituo.

Connectiona ni nzuri kwa yule mwenye nayo, kwa yule ambaye hana ni tabu sana
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…