Habari za muda huu wanajamvi? Nimebahatika kuitwa kwenye usahili wa nafasi tajwa hapo juu, lakn changamoto n kuwa hii n mara yangu ya kwanza kwenda kufanya interview za utumishi, naomba mwenye uzoefu, maswali ya, examination officer yanavyo kuwa anisaidie tafadhali sambamba na uzoefu wa namna interview zinavyo kuwa. Natanguliza shukrani.
Huu ni uzi maalumu kwa ajiri ya kushare Maswali ambayo ulishawahi kukutana nayo katika Interview za UTUMISHI (PSRS) kwenye kada tofauti tofauti iwe ni Oral,pract au written.... Acha swali ulilokutana nalo ujibiwe hapa Unapokuwa unatoa maswali jitahidi kutaja kada husika.
Sijasema mm special mkuu? Nmeomba msaada tu kama msakatonge mwenzenu. Interview nying nmepiga chin coz ya idadi ya watu so hii imenikuta nipo Arusha ndo maana nikaona siyo mbaya nikapate uzoefu. Naomba unisamehe mkuu kama ntakuwa nimeweka post mahal ambapo c sahihi.

Nimetoka juzi tuu kwenye interview ya bunge Dodoma,nakaa mbali sana kusini,mwishomwisho huko,nauli niliyotumia kwenda Dodoma na malazi ni zaidi ya laki mbili, hapo nilisaidiwa tuu.saa hizi unipeleke Arusha mbona pesa ntakayotumia ni mtaji kabisa