Hahaha
pamoja namwaidhaa yooote. umnong'oneze kijana kuwa kuna chama cha maINFIDELITY anapaswa kujiunga nacho the same week anapokuwa amepata jiko.
huko ndo atakapopata elimu mbadala ya kumkinga na masaibu ya wanawake wenye kimbelembele cha kufumania
mmh sa kwan mimi mwwanaume...Haaaaah wataalamu wamegoma!!!!!!!!!!!!
Labda waulize upande wa pili labda watakuwa na mawazo mazuri tafadhari akina Nyamayao, Rose1980, FL1, n.k muokoeni jamaa kwa kumpa pointi, maana timu ya akina ASPRIN wamemchunia!!
Nyie ndio mnajua nini mnapenda mfanyiwe!mmh sa kwan mimi mwwanaume...
mwambie tu uhaminifu +upendo ndo ngao ya ndoa
Feedback; Nawashukuru wale wote walionipa ushauri, ingawa mwingine ulichelewa sikuuona. Actually shughuli yenyewe ilikuwa jana. Kwa kweli hata mimi nilijishangaa jinsi nilivyoumbiwa kipaji cha kushauri. Maneno yalikuwa yanabubujika sijui hata yalikuwa yanatoka wapi. Unajua tofauti na wengine waliokuwepo pale ambao walikuwa wanasema kuhusu upendo, kuzungumza, kutoshelezana n.k mi niliamua kumwaga point zangu katika topic kuwa mume na mke wanaungana lakini kama vein diagram. Yaani ingawa kunakuwa na kuungana lakini lazima kuna maeneo yakabaki free kwa kila mtu. Sio kila kitu unachofanya au anachofanya yeye mna ulazima wa kuambizana. Lazima waheshimu privacy katika mambo machache, na hapo ndo nilikuwa nasisitiza namna ya kuyahandle 'kwa usalama' yale mambo ambayo atakuwa anayafanya na haitakiwi mkewe kuyafahamu...
Ni kipi hicho??ulikumbuka kumwalika kwenye kile chama cha infiiii
Hivi, wahudhuriaji wa hii party Ni Ke au Me?baba mmoja amemuandalia kijana wake bag party (sijui ndo zinaitwa hivyo!), kwa ajili ya kumpa mawaidha ya mwisho, kabla hajaoa hivi karibuni. Katika hali ambayo sikuitarajia,amenialika kama mmoja wa watoa mawaidha kwa kijana siku hiyo eti kama kijana mwenzake, niliyeoa miaka ya karibuni. Sasa najiuliza nikaongee nini? Asprin, Roya, Teamo, Finest na wengine, hebu nipeni point... Baba Askofu naomba uzichuje vizuri watakapozitoa, zisiende kumuharibu kijana...