Nimeitwa interview tume ya ajira

Posho City

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2012
Posts
648
Reaction score
418
Wakuu kuna kazi za assistant education officer pale Kibaha education Centre ziliombwa tangu July mwaka jana.
Leo wameita usaili wiki ijayo na mimi naenda kufanya usaili kwa ajili ya somo la Chemistry.
Kwa ule wa ana kwa ana sina tatzo maana nadhani wanauliza sanasana ambavyo mwalimu utainteract na darasa.
Je usaili wa mchujo kwa mwalimu wanaweza base wap?
 
Elewa teaching aids, methods na participatory methods unachukua kazi. Ziada elewa kuandaa Lesson plan, na angalau ujue topics kadhaa
 

meza benzin ring
 

vp wamekupigia simu au wameweka kwenye mtandao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…