Kuna dem mkali nimekutana nae hapa sa nimemuita shem, sa anashangaa shem wapi wakati hanijui nikamwambia mwenzio sina hela sa watoto wazuri ka wewe naishia kuwaita shem.
T/UDOM/2009/.....with second upper class. Kuna muda unakua na mzuka wa kufurahi na kumfurahisha mtu. After all life goes on, such things give us more reasons to be happy regardless how hard life is