Kumbe wewe ni mchanga sana kwenye siasa. Basi muachieni Mh.Lowassa kwenye list ya wagombea kuwakilisha chama kuwa mgombea wa Urais halafu uone atakuwa wa ngapi. Pia mbona wabunge wengi wa chama chetu (CCM) hawakuwa wakiongoza kura za maoni? Hii ndiyo hasara ya kujifunza siasa mtandaoni, tena kwenye thread moja tu, halafu unaanza kujifanya mchambuzi na mkosoaji.