nimeipenda hii

Honestly sijasali leo, as kaka unaruhusiwa kuni-reprimand ila usimwambie mama; maana kaniuliza hilo weekly swali kwa simu, nikamuwahi kwa swali jingine maana ubavu wa kuomuongopea sinao.

Mzima lakini?
 
hii ni hadithi bwana na sio story ya kweli.ingawa ina mafunzo fulani.haiwezekani wana familia wamtumilie mtoto wao ili kukutega wewe.tena huyo binti yao wamkubalishe hasa awe anavaa viguo vya kukutega.
 


Safiii....kWa wale wadau tunajua hii post imerudiwa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…