Kama uko Dar nitafute kwa kuniPm kisha tuyajenge!Heshima kwenu wana jamii forum Mimi ni kijana wa umri miaka 24 nimehitimu diploma ya utunzaji wa kumbukumbu ila kwa sasa sina kazi ila nipo tayari kufanya kazi yoyote maana kukaa bila kazi na umri unaenda lengo langu nipate kazi yoyote ili niweze kupata anagalau mtaji niweze kuanza kupambana kama mtoto wa kiume maana ajira kwa sasa ni ngumu na pia nahisi mpaka uwe na system huko juu maana nilishawai kufanya usaili halmashaur na kufanikiwa kupita nikasaini na mkataba lakini nafasi alipewa mtu mwingine nimefuatilia mpaka nimekata tamaa nimebaki na karatasi ya ruhusa mkononi hivyo naona ni muda wa kupambana ili nipate angalau mtaji ili nipambane. Natanguliza shukurani zangu za dhati kwenu pia ushauri wenu ni muhimu zaidi maana siku zote ushauri ndo umfanya mtu akili itanuke.
Kazi yeyote siyo?! Mkuu unaweza kulisha ng'ombe na nguruwe?! Kama unaweza njoo PM chapHeshima kwenu wana jamii forum Mimi ni kijana wa umri miaka 24 nimehitimu diploma ya utunzaji wa kumbukumbu ila kwa sasa sina kazi ila nipo tayari kufanya kazi yoyote maana kukaa bila kazi na umri unaenda lengo langu nipate kazi yoyote ili niweze kupata anagalau mtaji niweze kuanza kupambana kama mtoto wa kiume maana ajira kwa sasa ni ngumu na pia nahisi mpaka uwe na system huko juu maana nilishawai kufanya usaili halmashaur na kufanikiwa kupita nikasaini na mkataba lakini nafasi alipewa mtu mwingine nimefuatilia mpaka nimekata tamaa nimebaki na karatasi ya ruhusa mkononi hivyo naona ni muda wa kupambana ili nipate angalau mtaji ili nipambane. Natanguliza shukurani zangu za dhati kwenu pia ushauri wenu ni muhimu zaidi maana siku zote ushauri ndo umfanya mtu akili itanuke.
Kwani kazi zinapatikana wapi mkuu?Kazi haitafutwi jamii forum ndugu yang, labda upewe ushauri tuh!
Endapo kam unania na kutafuta kazi jaribu kutembea.
Ila nawasiwasi na diploma yako!?
Mi kazi yangu ya pili nilipata humuhumu jamii forum.Kuna mtu alipost kuna kampuni ilikua inatafuta mhasibu msaidizi aliweka tu namba. Nikaipiga ile namba nikapewa maelekezo kampuni ilipo nikaenda na vyeti vyangu nikafanyiwa interview nikapata kazi.Kazi haitafutwi jamii forum ndugu yang, labda upewe ushauri tuh!
Endapo kam unania na kutafuta kazi jaribu kutembea.
Ila nawasiwasi na diploma yako!?
Mwambie huyo mkoloni amekaririMi kazi yangu ya pili nilipata humuhumu jamii forum.Kuna mtu alipost kuna kampuni ilikua inatafuta mhasibu msaidizi aliweka tu namba. Nikaipiga ile namba nikapewa maelekezo kampuni ilipo nikaenda na vyeti vyangu nikafanyiwa interview nikapata kazi.
Acha kukatisha watu tamaa, i got a job kupitia hili jukwaa la jfKazi haitafutwi jamii forum ndugu yang, labda upewe ushauri tuh!
Endapo kam unania na kutafuta kazi jaribu kutembea.
Ila nawasiwasi na diploma yako!?