Dogo usiharakie MAPENZI yaache yaje kwa muda wake yenyewe!Hbarini zenu wanaJF,
POleni na pilika na mihangaiko ya maisha chini ya utawala wa baba Jesika.!!
Nilopotea JF for about 6 months.NiliwaMiss sana ndugu.
Straight to the point;mimi ni kijana barobaro ,umri 20s.Kuna dada niliweka nia kumuoa kama mambo yakikaa sawa(sijawahi kuwa nae ktk mahusiano ya kimapenzi).
Nilijiapiza nisijihusishe nae kimapenzi kbla ya ndoa kwa kuwa ckutaka kuwa nje ya mfumo wetu(kimaadili).
Ila ilitokea hali isiyokuwa ya kawaida,kwani binti alianza kutokujibu txt and samutaimzi tukiongea anaongea kwa 'mkato'.Nilijiuliza bila majibu........
Ila baadae alifanikiwa kuniambia kuwa "tatizo aliwahi kuwa na mwanaume mwingine,ila mwanaume huyo alimtenda(kumwacha) japo cjajua sababu."
So kila akikukumbuka "situesheni" analia na inampelekea kujiaminisha kuwa hakuna mwanaume muaminifu....!!
Kwa upande wangu imeniathiri na ninahc taabu km atakuwa ktk hali hiyo..!!
Samusingi i have noted;ni kuwa wanawake wengi huwa wanazama ktk mapenzi kwa wapenzi wao wa mwanzo(sijajua tatzo)...
Nishaurini nimsaidieje ili arudishe imaani na wanaume(esp.MIMI)..
Sent using Jamii Forums mobile app
Dada siri iko ivi ukitaka kujua tabia halisi ya mtu unaetaka kumuoa au kukuoa mchunguze kabla ya tendo ukijifanya unachunguza wakati mko kwenye mahusiano ya tendo kamwe hutojua tabia ya mtu na ndo sababu ya ndoa nyingi kuvinjika mwaka au miaka miwili baada ya ndoa,ningumu kuelewa ila ni swala la kisayansiDunia ya sasa bila kujuana ... [emoji23] [emoji23] [emoji23] daaaa kumbe bado mpo wanaume wa namna hii? Nenda nae taratibu ataelewaga tu
Imani inanizuia,ila nashukuru kwa ushauriGonga papuchi hiyo[emoji23] [emoji23]
DJ sepetu
Naye ni 20s(21) inaonekana kwake ilikuwa mwanaume wa kwanza...Dogo usiharakie MAPENZI yaache yaje kwa muda wake yenyewe!
Umri wako bado sana kuamua ni yupi SAHIHI kwako!
Utakuja jutia ufungue tena uzi humu JF kuwa NI SHAURINI MKE WANGU.........
Maana mwenzio ana EXPERIENCE hadi ya kuachika, nawewe unaonekana bado MBICHI 20yrs still young Mdogo wagu.
Sent using Jamii Forums mobile app
So uzuri ni kuchunguzana kisha kuona. Haijakatazwa kufanya hivo ila kimoja wapo nilichokiona kwake ni hichoDada siri iko ivi ukitaka kujua tabia halisi ya mtu unaetaka kumuoa au kukuoa mchunguze kabla ya tendo ukijifanya unachunguza wakati mko kwenye mahusiano ya tendo kamwe hutojua tabia ya mtu na ndo sababu ya ndoa nyingi kuvinjika mwaka au miaka miwili baada ya ndoa,ningumu kuelewa ila ni swala la kisayansi
Na makosa haya ndo yanazaa zile kauli mimi nitakuwa nilirogwa sikuoa kwa maamuzi yangu ila ukweli ni kosa la ku date kisha ndo kuchunguzana kunafata
Ntajitahdi ila kama c fungu lngu nitaachia ngaziNdo walivyo hao. Eti wanaume wote sawa khaaaa! Achana nalo likafie mbele
sent from my iPhone 7s using JamiiForum mobile app.
Usijaribu kufanya hii biashara kichaa mkuu, hawa viumbe wakipenda kweli hupenda kwa moyo wote. We unaweza kuwa mfariji wake tu, lakini siku aliye moyoni wakiyamaliza hapo mkuu ndio shida.Nishaurini nimsaidieje ili arudishe imaani na wanaume(esp.MIMI)
Get U bro....!!Usijaribu kufanya hii biashara kichaa mkuu, hawa viumbe wakipenda kweli hupenda kwa moyo wote. We unaweza kuwa mfariji wake tu, lakini siku aliye moyoni wakiyamaliza hapo mkuu ndio shida.