MLALUKO JR
JF-Expert Member
- May 3, 2015
- 962
- 309
Pole dada,ila mm nliweka nia kuoa kabisa kbla hata kujuanaSamtaymusi kumsahau alomwacha tena kwenye situesheni kamwachia uchungu moyoni ni shida sana kwa msichana kama asipokubali kama kaachwa na anatakiwa kumove on ... Kama yuko tayari kupiga hatua msaidie maana asipoangalia mbele ataumia mwenyewe ... Mwambie anitafute maana nilipitia kama yeye [emoji23]
Cjajua ila inaonekana anaumia mpaka sasa akikumbukaBado anampend huyo wa mwanzo.
Dunia ya sasa bila kujuana ... [emoji23] [emoji23] [emoji23] daaaa kumbe bado mpo wanaume wa namna hii? Nenda nae taratibu ataelewaga tu
Shukrani dadaDunia ya sasa bila kujuana ... [emoji23] [emoji23] [emoji23] daaaa kumbe bado mpo wanaume wa namna hii? Nenda nae taratibu ataelewaga tu
Sidhani kama comment yko ina mchango wa kumsaidia kupitia mmVaa uhusika wake mfano ungekua yeye ungefanyaje ili kujisahaulisha? Kama bado hupati majibu nicheki FB kama unaona uvivu kazana kusoma
Bob kama huwezi kuvaa viatu vyake haumstahili huyo binti.
Hbarini zenu wanaJF,
POleni na pilika na mihangaiko ya maisha chini ya utawala wa baba Jesika.!!
Nilopotea JF for about 6 months.NiliwaMiss sana ndugu.
Straight to the point;mimi ni kijana barobaro ,umri 20s.Kuna dada niliweka nia kumuoa kama mambo yakikaa sawa(sijawahi kuwa nae ktk mahusiano ya kimapenzi).
Nilijiapiza nisijihusishe nae kimapenzi kbla ya ndoa kwa kuwa ckutaka kuwa nje ya mfumo wetu(kimaadili).
Ila ilitokea hali isiyokuwa ya kawaida,kwani binti alianza kutokujibu txt and samutaimzi tukiongea anaongea kwa 'mkato'.Nilijiuliza bila majibu........
Ila baadae alifanikiwa kuniambia kuwa "tatizo aliwahi kuwa na mwanaume mwingine,ila mwanaume huyo alimtenda(kumwacha) japo cjajua sababu."
So kila akikukumbuka "situesheni" analia na inampelekea kujiaminisha kuwa hakuna mwanaume muaminifu....!!
Kwa upande wangu imeniathiri na ninahc taabu km atakuwa ktk hali hiyo..!!
Samusingi i have noted;ni kuwa wanawake wengi huwa wanazama ktk mapenzi kwa wapenzi wao wa mwanzo(sijajua tatzo)...
Nishaurini nimsaidieje ili arudishe imaani na wanaume(esp.MIMI)..
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa ndugu,labda ni ile ya "macho hayaoni,kile ambacho akili haikifahanu"Mwanaume wa mwanzo anakuwa ana mapenzi ya dhati kwelikweli yaani anasimama na wew nyakati zote ndo maan tukitendwa nao tunaumia vibaya....tofauti na wa pili na watatu ...hawa hawaji kihivyo..kikawaida sana
"situesheni"
Mmmmhhhhh???????Samusingi