Nimefuta message ya token za maji napataje tena

God Did

Member
Joined
Feb 26, 2021
Posts
10
Reaction score
19
Mwenzenu nimenunua maji, kabla sijajanza mwanangu akashika simu akafuta ,sasa nimejaribu kila njia ili nirudishe nimeshindwa naomba mnisaidie
 
Wasiliana na mtoa huduma wako wa mtandao. Watakutumia tena token au wasiliana na mamlaka yako ya maji.

Automatically token utazipata.
 
Back
Top Bottom