Abdull Kazi
JF-Expert Member
- Dec 29, 2012
- 344
- 306
Juzi nilipost hapa namna akaunti binafsi ya Rais wa Zanzibar kwenye Chanel ya WhatsApp,inavyotoa taarifa yake kama na yeye anaripoti badala ya kueleza kile alichofanya
Baada ya hapo nimeona kuna mabadiliko makubwa na sasa akaunti inaripoti vizuri na msemaji anaona ni taarifa ya moja kwa moja inayosemwa na Mwinyi badala ya kuonana na yeye anaripoti
Naamini vichomi wamefanya kazi nzuri ya kupitia na kuchukua Yale wanayoona yanamjenga kiongozi na kuilinda hadhi yake