Nimefura kwa hasira

Huo ulikua mtego mkuu!! Ukisema wamelaaniwa unakosea maana hata mungu alisema tuishi nao kwa akili...sasa kama ulishindwa kuishi nao kwa akili then hilo ni kosa lako!!!

Huo ulikua mtego!!
Kwa hiyo mkuu ningegomea kupewa makinikia?
 
Ni sawa tu mkuu kwani huwezi jua Mungu kakuepusha na nini, wakati mwingine mambo hizo zikiwa ivo unatakiwa kufurahi zaidi kuliko hata kama ungedfanikisha...wazungu wanasema "everything happens for a reason"... Iko hivo yaani
 
Hata Mimi nimeanza kuhisi hivyo mkuu huenda kaniepusha na janga
 
Alitegemea ungemtumia hela ya nauli au ungesema uende ukamchukue, kosa lako kubwa hukufanya ht moja kati ya hayo mawili.
Mm huwez ntoa kwangu kwa nauli yng hlf nije kwako unigegede na mwsho uniambie huna pesa unpe buku ya daladala, ntakumind sn.
Umesema vizuri Sikh hizi Luna UBER hata bajaji ingekuweka mahali pazuri
 
UBER Je!!!! Ungemwita kwako ukamtuma kwa msambwanda na kurudi ..... Vitamu gharama mkuu
Mkuu nalipa baada ya huduma siwezi tuma nauli, mfano ndo ningekuwa nmetuma si ingekula kwangu
 
Ha ha ha pole sana, kuna wakati imewahi nikuta toka hapo demu akiniambia anakuja..nachukulia kawaida hivyo aje au asije kwangu sawa tu!!
 
Ha ha ha pole sana, kuna wakati imewahi nikuta toka hapo demu akiniambia anakuja..nachukulia kawaida hivyo aje au asije kwangu sawa tu!!
Asee inauma ila we learn from mistakes.Nami Leo nimejifunza
 
Na inavyoonekana ulikunywa na supa shaft.Igeuze iingie 0713.
Huna cha kupoteza kula madikodiko yako![emoji12] [emoji13] [emoji12]
[emoji6][emoji6][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…