Bado sijajua kama naumia moyo ama la. Natokea msibani alfajiri kabisa ili nifike nyumbani nipumzike kidogo then nijiandae kwa kazini. Nikachukua boda ili niwahi. Mimi na yy tuko majirani tu na kahamia hapo kama siku 3 hivi. Jioni iliyopita tuliagana vizuri baada ya kusolv tofauti zetu. Sasa hiyo alfajiri napita naona kwa mbele taxi inapaki, chumba cha huyo mwanamke kiko wazi na taa inawaka saa 11 ile. Ndipo nikashuka toka boda2 nikajibanza sehem kushuhudia. Nikaamua kwenda hadi mlangoni. Jamaa ndo alikuwa anamuaga akamuachia na vijisent. Binti akamtolea kubaz zake nje ndo akanikuta nimesimama. Anajua kujicontrol. Jamaa akatoka tukasalimiana akaenda kupanda taxi... Nimemwaga on the spot. Wito wangu kwa wanaume, mwanamke akishaanza kuwa na viswahili vingi muogope.

Pole sana, shukuru mungu vile kakuonyesha mapema kabla hamjakuwa mke na mume!Dah! Women noma. Naanza kujisikia vibaya, nikijua kabisa kuwa nilikuwa nampenda na hakuna kitakachonifanya wala kunishawishi kurudiana nae
pole sana Wallet....
halafu, hivi kuna wanaume wanajiamini eeeh, anaenda kulala kwa demu wake? loh
hii ilitokea kwa jamaa yangu mmoja....yeye alilala kwa demu wa mjeda....ghafla bin vuu mjeda akatoroka kambini..... ......kilichotokea....inahitajika thread binafsi....