Nimefiwa na kaka yangu

Pole sana ndugu, Tumuombe kwa pamoja Moula karim amrehemu na kumlaza pema. Amin
 
Pole Sana willy Gamba.....Mwenye enzi akupe nguvu......kumbuka na sisi ni canditates tufanye maandalizi
 
pole sana mpendwa Mwenyezi Mungu akutie nguvu katika wakati huu mgumu
 
Ni bahati mbaya Edit jina lako ili umwondolee adha zinazoshabihiana na jina lako peponi!
 
Last edited by a moderator:
pole sana mkuu...rambi rambi zetu tunazitumaje zikufikie?
 
pole best si ungemwambia hata mtu wako wa karibu hapa jf ili akuwekee bandiko hapa nasi tukupe faraja

usijali ni Bwana ametoa na ametwaa pole mwaya Mungu akutie nguvu
 
ooh! pole sana ndg yangu..Mwenyezi Mungu awafanyie wepesi inshaallah!RIP Bro.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…