Nimefarijika sana....Asante sana Dr.Slaa...

Dr. Slaa Mtanzania halisi! Mzalendo mwenye uchungu na shida za watanzania. Huyu ni Dr wa ukweli!
 
Hana makuu dokta wa ukweli. Binafsi nampenda sana, ana busara za kiutu uzima. Najifunza kwake pia japo si mwanasiasa japo mwanachadema.
 
Daaaa, yani kama mtoto mdogo lakini hatamimi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…