Capt Tamar
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 13,232
- 18,401
Hivi Dr. W. P. Slaa ameshawahi kupewa shahada ya heshima na vyuo vyetu hapa Tanzania ? Kama bado vyuo hivyo vinasubiri nini? Mbona kikwete anapewa shahada kila mwaka?
Slaa amefanya mambo mengi ya kuelimisha umma, ni mwenyekiti wa bodi ya ccbrt ambayo inasaidia wanyonge etc . Afanye tena nini mumpe shahada ya heshima nyie wahusika au mnasubiri akiwa rais 2015?
acha kuitikia, ...Kwanza atakuona? atahisi kama anapishana na upepo tu.Hebu siku nyingine ukipishana na Mkapa jaribu kumsalimia kama ulivyofanya kwa Dr. Slaa, Halafu uone kama atakuitikia
Na mimi hili nalikubali sana kwa kweli hauwezi kuwa msemaji wa chama, mbunge na mkuu wa wilaya kisha ukafanya kazi zako zote kwa tija.pia kukubali kuacha ubunge,chadema imepata mafanikio makubwa sana!inaonyesha jinsi asivyo na uroho wa madaraka
Nadhani anashugulikia hati za lile jengo la makao makuu ya CHADEMA alilojitolea Sabodo. Jamaa ana uchungu na nchi ndio maana yuko mstari wa mbele wa mapambano muda wote. Unafikiri hana mialiko ya kwenda kwa wazungu kama JK na Lipumba? Anayo lakini ameweka Tanganyika Kwanza!