Mzee Kipara
Member
- Jan 3, 2011
- 83
- 43
2015? slaa! yaani hapo CDM watakuwa wameharibu kabsaaaaaaaaaaaHata mimi nilikutananaye pale Wizara ya Ardhi sio leo ilikuwa jumatatu nadhani kuna kitu anafuatilia pale,but nilimuona Dr slaa kadhohofika sana,nadhani ni uzee sasa..kwa kweli anahitaji kupumzika muda mwingi ili awefit kuelekea 2015.
2015? slaa! yaani hapo CDM watakuwa wameharibu kabsaaaaaaaaaaa
Dr. Slaa; Rais anayeongoza kutoka kwenye mioyo ya watanzania.
kutana na mimi kwanza - yule ni mzee kwako, mi ndo size yako
Wakati wa uchaguzi mkuu mwaka 2010 nilikuwa kwenye mkoa tofauti na nilipojiandikishia. Niliamka alfajiri sana kwenda kumpigia kura Rais wangu Dr. Silaa lakini nikakataliwa! Nilishangaa sana kukataliwa kumpigia kura Rais wa tanzania nikiwa ndani ya Tanzania wakati nchi nyingine mtu anapiga kura akiwa nje ya nchi. Nilikasirika sana lakini hatimaye nilifarijika baada ya kufanikiwa kuwashawishi watu watatu wakampigia Dr wa ukweli. I wish you a long life as you walk towards the state house in 2015. Serikali ya makaburu haikuweza kumzuia mzee Mandela asiingie ikulu sembuse hii fragmented magambaic government!
Gud news. ni sawasaw na marais wa africa wanavyofurahi kwa kukutana na rais Obama wa USA