Nimefarijika sana....Asante sana Dr.Slaa...

I see! kama ndivyo hivi,tumwombee Dr hatimaye aenda magogoni na kuamsha matumaini ya kanaani yetu
 
Niliwahi kutana naye Tegeta magengeni akiwa kwenye gari, nilitamani nizime gali na kushuka hapohapo nimsalimu, nikahofia kusababisha usumbufu kwa watumiaji wengine wa barabara(ukizingatia Tegeta palivyo kipindi hiki cha ujenzi wa barabara).
 
Inatia faraja sana kukutana na viongozi wa CDM.....yaani ukikutana na viongozi wengi wa CCM unaingiwa na chuki ghafla....sijui kwa nini aisee
 
Dr Slaa anavaa viatu vya Nyerere. He is a charismatic leader.
 

Hata mimi natamani nikutane nae......!
 
Sana Mkuu.Nimepatwa na nguvu mpya.Nakaribia kufuata kadi ya CHADEMA kama chama changu cha kwanza cha siasa maishani mwangu...
Mkuu jaribu kutengeneza picha kichwani mwako. kama katika ngazi zile ungekuwa umekutana na Mukama katibu mkuu wa kile chama kile kile, jee ungejisikiaje muda huu?
 
kumuona tu na kusalimiana umerdhika, we mtu wa ajabu kabisa
 
dR. SLAA RAIS WA WATU MAKINI - JK RAIS WA MAFISADI
 
Dah! Nakumbuka alivyokuja Iringa kwenye kampeni za Urais niliangaika sana kutaka kupiga naye picha tu ilishindikana dah! Natamani siku nije nikutane na huyu Dr.Slaa aniongeleshe hata neno moja Kijana hujambo, ntafarijika sana kiukweli!
 
Kikwete ni chaguo la Mungu: Mungu alituchagulia ili tuone uchungu na nchi yetu na tumuone DR Slaa kama Tegemeo jipya. Wana wa Israel walipotaka kujichagulia Kiongozi Mungu alimuweka Sauli ambaye hakuwa kiongozi bora, kwa hiyo dk Slaa ni Tumain Jipya baada ya ukaid wetu wa kumchagua KIKWETE
 
Slaa alishinda kwa umbali mrefu sana......
 
Nakuonea wivu sana, ningalikutana nae mimi ningalijitahidi nimshike mkono alafu nisingenawa mpaka mwaka 2015 atakapokuwa rais rasmi!.
 
Ukweli Rais wetu Dr slaa 2015 ni raisi ambaye hana makuu na mimi pia nilifurai niliposalimiana naye Arumeru mashariki.
 
Tumeongea sana, Mungu ametupa mpigania haki, tumuunge mkono; Tusiogopeshwe na wezi, mungu yuko upande wetu nani atatushida, kama tukimpigia makoti mungu tunaweza kumsimamia yeyote.
 
Inatia faraja sana kukutana na viongozi wa CDM.....yaani ukikutana na viongozi wengi wa CCM unaingiwa na chuki ghafla....sijui kwa nini aisee

Kweli kabisa..yaani ilikuwa Ijumaa pale kwenye Msikiti wa Upanga baada ya Swala ya Ijumaa..nilimuona Shukuru Kawambwa (Waziri wa Elimu)..nilisikia chuki kubwa sana rohoni, yaani roho ya ugaidi bado kidogo initembelee! Namshukuru Allah alinisaidia...I hate CCM and All its Contents.
 
Mi nilikutana na Mama Salma JK nikamkonyeza akacheka, aiseee nilifarijika sana, mama katulia sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…