Kuna wanaoumizwa,wakipata wenza wengine wanasahau machungu
Kuna wanaoumizwa wakipata mwingine wanamalizia machungu yao hapo(Yaani anaweza akakutenda vibaya sana )kama atachukulia wanaume wote ndivyo walivyo,atalipiza kwako kisasi kutokana na aliyotendwa na mwanaume mwenzio.
Au moyo wake umeshakuwa na ganzi,na anashindwa kupenda na kuamini tena,ila wewe ndie unayempenda,lazima UTAUMIA labda apate counselling.