Dah anza kutubu mapema naku mwomba Mungu upate Rehema kabla hujapelekwa church au msikitini horizontally.#uzinzisiodealbakinjiakuu .
Pole yako sana tu virus vimeshakusambaa tayari
nimefanya mapenzi bila kondomu lakini sijasugua sana k ila nikakpiga kimoja nikaacha na baada ya hapo nikanawa je naweza pata ukimwi na nichukue mda gani kukutana na mke wangu msaada tafadhali sana wadau
Ungeuliza kabla ya tama zako kama ni kuukwaa tayari, subiri miezi mitatu upime na usiendekeze upuuzi eti kamoja hakana michubuko kama boxer+fungus wamekuchubua utajua?
Umeona shetani alivyokuwa hana maana,alikutia ujasiri ukajiona unafanya jambo la maana,sasa umeshaharibu kakukimbia amekuacha unajutia,usikate tamaa mgeukie Mungu atakuepusha na mabalaa kwenye maisha yako,epuka michepuko baki njia kuu.