"Kitabia anaonekana ni Mwanamke anayejiheshimu"
Hivi Mwanamke anayejiheshimu anaweza kukuachia mwili wake umshike shike tena eneo la wazi na sio chumbani au ndani?
Kwanza kitendo cha wewe kutaka kuhakikisha kua kama nikweli ana bleed kina maanisha kwamba wewe humuamini huyo Mwanamke na uliona kama vile anakuongopea.
Inauma aisee kweli majuto Ni mjukuuDaah!mwenyew hapa nna guilty baada ya kulala na manz mmoja iv usiku wa leo,imefika ngoma kumi na moja mtt ananambia yaan siend kanisan maana kwa hiki kitendo cha leo nitafanya kama nakufuru,moyoo umeniumaa kinoumq,hata kupiga ile morning glory imenishinda ikabid nimwambie aende room kwake cz tumepanga sehem moja