kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,788
- 5,027
Kuna mwanamke ambaye nilikuwa naye kwenye mausiano mwanamke huyo alikuwa ananipenda saana kwasababu ya uhuni wangu nilikuwa na shindwa kuheshimu hisia zake nikawa na mpa stress kila mara alikuwa analia kama mtoto mdogo kisa mimi.
Lakini hayo yote sikujali wala nini niliona ni maigizo tu. Lakini baada ya yeye kuondoka kwangu yaani baada ya kuachana kwetu ndo Nikaja kuona thamani yake kwangu.
Nilijaribu kutongoza wanawake tofauti lakini kwa bahati mbaya sikupata mwanamke ambaye aliziba pengo lake ndani ya moyo wangu.
Nilianza araka za kutaka kumrudisha 2020 lakini tumekuja kurudiana 2022. Ila kibaya naona yupo tofauti na yule wa mwanzo tena amekuwa mjuaji saana. Muongeaji saana yaani mpaka najuta kwanini nilimrudisha maana naona amerudi kutesa moyo wangu tu.
Sijui mbinu gani nizitumie ili kumrudisha awe kama mwanzo.
====
Soma pia > Namna ya kumrudisha X wako bila ya kuumiza kichwa wala kuonekana king’ang’anizi