Nimeenda kikao cha shule na gari yangu Subaru Forester, walimu wakanishangaa

utajuta kuzaliwa utakavyoshambuliwa
 
Ni kweli sipendi ualimu ila ni kazi nnaiheshimu sana. Ni kazi Baba ameweza kuendesha maisha yetu Hadi mauti ilipomfika, lakini kupitia kazi hiyo nimejifunza mengi ambayo yamenifanya niwe hivi nilivyo Leo.

Ila unakazi kubwa sana ya kufanya kwenye maisha Yako, jifunze utu na ubinadamu, acha kuthamini watu kutokana na vitu au vyeo vyao.

Hao unaowadharau nafasi zao zimeridhika na huenda wanamaisha ya furaha kukuzidi.
 
Safi sana,,huyo dogo ana IQ ndogo sana.
 
Mwenyezi Mungu akubariki sana
 
Ndio hao hao walikufundisha kuandika kwa kutamba na tambo humu
 
Sisi trend. Readers na wenye kufanya maamuzi ya huko tuendako tunajua wazazi wengi watakuja tamani watoto wao wawe walimu!!

Upo "mpangokazi mezani nitakaokuja kuusimamia walimu watakua admired kwa society!!

Matokeo unayoyaona na makosa tulifanya kama taifa tulipowaruhusu watu fulani kushika strong hold ndipo dhahma ya elimu makaratasi ilipoanza na kudharaulika Hadi leo,wakawekeza mapesa mengi kulipa wanasiasa wasioziddi hata 5000 na kunyima kada zenye uweledi was kuwafikia wengi kama elim katika Taifa!!!

Subiri kwa ham!
 
Subaru xt used haifiki hata milion 30 mashauzi kama ya asha, je ungemiliki v8 si ungetukana kila mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…