Nimedhalilika ...

ogopa watu wanaoongea wakiwa uchi baby sasa ushapata funzo..😁
 
Mambo ya watu wanabadilishana ngozi, ni ya kuyashauri kwa akili sana.

Pole mwayego.
Ila weee naeee ulitaka mwenzio akatelezeshwe wapi?
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Yaani limtu linasema yoote
siku nyingine ukitaka kutoa ushauri waite wote, wasikilize then mchane kila mmoja kwa nafasi yake, hapo hawatakuwa na la kukusema, huwa nafanyaga hvo nikiombwa ushauri na wapendanao,
 
OKTOBA TUNATIKI

huyo binti atakuwa chadomo!

maana bavicha queens ni viroporopo wakiona miwani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…