nimedanganywa...

tatizo ww unamzuia mwenzako wakati ww umo raha ya sheria ikate mbele na nyuma kama msumeno,ni hayo tu
 
fungua account nyingine fb,afu mtokee ,mtumie sana mavocha halafu siku mtoe out,............
 
Mapenzi ukiwaza sana sometimes heri uwe na kama watatu moja akizingua unabaki na mwingine au unakuwa nao ila unachunguza aliyetulia kati yao.
 
Sasa usiwaze mbona fb kitu cha kawaida tu.. Tatizo Nini kama vp na wewe kafungue twitter...

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
nimekuta amebadili jina lake kidogo.lakn ndio yeye.
uongo kwenye love ni mbaya sana.sasa hap' najiuliza ananidanganya vngp?.u

so humuamini tena? kama humuamini maanake hata mapenzi yameanza kupungua. na kama mapenzi yameanza kupungua chapa mwendo. mapenzi ni kuaminiana babaa
 
kwani ulimkataza asiwe huko? na kwanini umkataze?
 
mchumba wangu wa miaka mitano amenidanganya hayupo facebook.
nimekuja kugundua anayo account miezi 6 iliyopita.
nashndwa kumuelewa ana maana gani kunificha?!

Uchumba wa miaka mitano, ni unyumba au udanganyifu? unamuwekaje mtoto wa watu miaka hiyo yote? je umezaa nae? sasa ingekuwa ni mwanao usikie anamchumba miaka mitano, ninini? nijini halitaki kujitokeza? wacha akufiche mambo mengine hukuwa tayari kumchukua jumla au kumuacha jumla.
Mapenzi ya ving'amuzi yanashida zake.
Jifunze, wala usimlaumu ila muombe samahani inawezekana wamejitokeza wakali wakuchinja na kuoka.
 
mchumba wangu wa miaka mitano amenidanganya hayupo facebook.
nimekuja kugundua anayo account miezi 6 iliyopita.
nashndwa kumuelewa ana maana gani kunificha?!

muombe password kama hana makolokocho atakupa.........
na endelea kumchunguza hivohivo, kaba hadi penalt inasaidia sana japo smtmz si nzuri.
 
Sasa usiwaze mbona fb kitu cha kawaida tu.. Tatizo Nini kama vp na wewe kafungue twitter...

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Dawa ya moto ni moto !!!!akishafungua account ya Twitter amuandikie mchumba kwenye wall yake FOLLOW ME ON TWITTER
 
kuna sababu zingine hutafutwa zisizo na umuhimu sana , maana sidhai kama ni sababu ya kuweza kumhukumu mtu
 
Utoto huwa hauishi kwenye mapenzi. Ila nadhani ana agenda ya siri kuingia fb cyo tatzo tatzo kwa nn hakufiche?
 
aisee ww jela inakuita,, kwann hasa unakuwa na uhusiano na mtu wa miaka 5??? wakubwa wenzio wameisha?? au na ww ni under 10??
 
sijamkataza fb.minina accnt fb na anajua.nilimuuliza ana accnt fb anakataa.
ss kwnn anifiche?siwezi kumuacha nampenda.

jalem kwn uchumba unalimit ya mda?yeye yuko kwao mimi kwetu.kuna shida?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…