Nimechupuka mara ya kwanza, nimenogewa

Mfikirie mkeo na malaika wenu mliojaaliwa. Acha kujiendekeza!
 
Ajabu ya wanaume wa mikoani, kumgonga umemgonga dada yao, lakini kilio kama Mbweha, watalia wao!
 
ulikula kiapo cha uvumilivu mkuu, mtenda hutendwa subiri wahuni tukutommbee mkeo sasa.
 
Ukirudia rough rider inakuwa adui yako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…