Nimechukia mno

Alitaka umu amber rutty maana hana marinda so kuko wazi. Wanaume mna roho ngumu kuliko simba
Hapana anajambia huku nyuma, niliwahi kukutana na mmoja tu aleyambia mbele, niligundua nimevaa kiatu kisicho size yangu, nilitimua nduki mzee na kumtia black list
 
Kwa mwendo huu, Malipo ya wote, aliyezini na anayelipiza kisasi, ni ngoma tu
 
Baada ya huo mchezo,ni masikitiko;watazame watoto wako kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…