Wakuu niende moja kwa moja kwenye maada. Baada ya kupata ushauri hapa JF kuhusu yule kijana aliekuwa akimgegeda wife niliamua kufanya yafuatayo.
1. Nilipunguza mapenzi kwa 80% kwa wife niliamua kubadilika sana, muda niliokuwa nimetenga angalau siku 1 kwa wiki kukaa na familia na kufurahi pamoja niliondoa.
2. Nimekuwa karibu sana na watoto zaidi ya ilivyokuwa mwanzoni imefikia hatua nikitaka kutoka home watoto wananililia.
3. Nimekuwa tena sihitaji kufanya mapenzi na wife kama ilivyokuwa zamani, siku hizi anapata kwa mwezi mara 2.
4. Nimetafuta replacement bila yeye kujua ingawa sitamuoa ila akikubali nitazaa nae ila sio kumuoa.
5. Zamani maswala ya kazi yalikuwa yanaishia ofisini, nikishatoka ofisini nilikuwa sitaki kusikia lolote kuhusu kazi, nilikuwa nikitoka ofisini maswala ya kazi nasahau, hivyo ulikuwa muda mzuri kwa ajili ya kukaa, kuongea na kufurahi na familia, siku hizi naenda na compyuta mpakato nyumbani, nimekuwa busy isivyo kawaida, ule wa kucheka na mimi haupo tena mpaka anashangaa, akijaribu kuniuliza kwa nini nimebadilika ghafla huwa nampa jibu moja tu (unatakiwa ujiulize wewe kwa nini nimekuwa hivi.).
Baada ya kufanya hivyo naona mtu anabadilika na kuanza kujishitaki bila mimi kumuuliza kiukweli amepata shida sana amefikia hatua ya kunitumia mafiki kuja kuniuliza kunani ila jibu ni moja. (Mwambieni ajiulize yeye kwa nini nimekuwa hivi).
Huo ulikuwa ni mrejesho wa nyuzi mbili nilizozileta hapa zilizofanya niingizwe kwenye ignored list.
Rejea kichwa hapo. Wakuu hili limenitokea leo ni mara ya 3. Nimejaribu kuchepuka na warembo tofauti 3, kuna jambo moja limenikera sana hasa leo maana nilifika kwa ofisi mapema nikafanya ya muhimu nikijua kuwa saa 4 nina mihadi na mtu hivyo lazima niende kuchepuka. Ilipofika saa 2 alinipigia simu kunitaarifu yupo tayari kwa ajili yangu, sikusita ilibidi nisitishe niliyokuwa nafanya. Tumekutana lodge saa 2 na nusu hivi, bila kupoteza muda maandalizi yalianza na shughuli ikaanza, kama mnavyojua bao lako ni tako mbili tatu tfyuuuuuuu, baada ya dakika mbili nikageini momentum na kurud uringoni. Binafisi huwa napenda saaana mrembo anichumie tembele, nilimwomba na yeye akanijibu anapenda sana kuchuma tembele na huwa anaulewa sana huo mkujo. Kilichoniudhi ni pale alipoanza kujamba bila mpangilio, nimejaribu kwenda slow motion bado tatizo likawa pale pale. Nimejaribu kila namna lakn vijambo vikawa pale imenibidi nitundike daluga na kuondoka. Nimekereka kweli tena zaidi ya sana.
Dada zangu hapa JF naomba mniambie hali hii inasababishwa na nini????? Kwa nini huwa mnajamba mkikunjwa au kubinuliwa (dog style). NIfanyeje kuepukana na hiyo hali maana unakuta mtu amelowa sehemu zote hivyo akijamba harufu inayotoka huwa na harufu ya kinyesi hivyo napata taabu kidogo.
Leo siku yangu imeharibika siwezi kufanya kazi tena.