kambi tata
Senior Member
- Oct 13, 2012
- 114
- 18
Kipi kimekuchosha katika star times?Jamani nimechoka na King'amuzi ch Star times na sasa nimekitupa!Je King'amuzi kipi ninunue ambacho hakitasumbua?Ahsanteni
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
haya ndo yanayonikuta hata mimi.Mkuu inakata kata sana picha haionekani ila unasikia sauti nimefunga mpaka antena ya nje hamna kitu!
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
changu cha star times kipo poa sana hakijawahi kunisumbua!
Jamani nimechoka na King'amuzi ch Star times na sasa nimekitupa!Je King'amuzi kipi ninunue ambacho hakitasumbua?Ahsanteni
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Mkuu inakata kata sana picha haionekani ila unasikia sauti nimefunga mpaka antena ya nje hamna kitu!
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Mkuu Mgjd Receiver bei gani?Niambie kama vipi Alhamisi nikutafute
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
NIPE MKWANJA NIKUUZIE DISH LA 90cm upate TBC1,ITV,EATV,STAR TV, SETANTA AFRICA, Ebru Africa, silverbird, muvi tv Africa,COLOR,CNN,ALJAZEERA,K24,LOVEWORLD, CCTV,etc etc etc. MUHIMU: NI lazima Uwe na MPEG4 RECEIVER.DISH BEI POA TU,40,000TSH. Fixed Price. No Discount.
Mkuu hizo chanel naweza kuzipata kupitia dish la ft6 nifunge wapi KU nina ARISAT MPEG4 HD, msaada wako kaka.
Unaweza kupata iwapo utakubali kuhama kutoka mwelekeo uliofunga dish lako kwa sasa,kwani chnls zote hz unazipata kwa Ku katika nyuzi 36 East,upande wanaoelekezea DSTV. Itabidi dish lako ulizungushe UNTCLOCKWISE kisha ulinyanyue litazame juu usawa wa kifua chako. Ni rahs sana kuipata hii satellite. Lnb funga ktk bomba la mbele yako kwa chini bila kukaribia kisahani cha C band. Ukiingza freq hizi 12275H11200,12322H23437,Jariku kutembeza Lnb yako mpaka igonge kijani,ukipata signal kuanzia 60 na zaidi ni imara. Kisha fanya Blind Scan kwa matokeo zaidi.
vp unayo ya kutosha uniuzie na mm 1?NIPE MKWANJA NIKUUZIE DISH LA 90cm upate TBC1,ITV,EATV,STAR TV, SETANTA AFRICA, Ebru Africa, silverbird, muvi tv Africa,COLOR,CNN,ALJAZEERA,K24,LOVEWORLD, CCTV,etc etc etc. MUHIMU: NI lazima Uwe na MPEG4 RECEIVER.DISH BEI POA TU,40,000TSH. Fixed Price. No Discount.
kambi tataJamani nimechoka na King'amuzi ch Star times na sasa nimekitupa!Je King'amuzi kipi ninunue ambacho hakitasumbua?Ahsanteni