Tatizo mnamkuwaga mnazingua tu wenyewe sio kwamba hakuna kjana aliyeku approach ila basi tu unatafuta chaguo lako mara nyingi huwa mnaangukia kwa wanaume chapa ilale
Binadamu (wanaume) kweli hatuna shukrani maana kila siku wadada wakiweka bandiko hapa kutafuta wenza watu wahoji kwanza bikira ipo? Sasa mdada wa watu hicho kigezo anacho tunageuza kibao kwamba azinduliwe kwanza ndo aje kutafuta mwenza humu, Dah!!