Inawezekana una uoga wa kut bw
au hauna utayali wakuwa kwenye mapenzi wanaokutongoza wapo
ila mara nyingi tatizo mnamkuwaga mnazingua tu wenyewe sio kwamba hakuna kjana aliyeku approach ila basi tu unatafuta chaguo lako mara nyingi huwa mnaangukia kwa wanaume chapa ilale