nimechoka kusubir

nimechoka kusubir

prince makota

Member
Joined
Aug 8, 2013
Posts
13
Reaction score
0
muda kama saa 3.00 nait bek 3 nyumba ya jiran kaniletea elf 80 majalala mim kanambia atanipoza 20 nimuifadhie iwe cr ye2,je kwanin anipoze,nawaza nimpge changa naic kaiba.
 
Heading na maelezo haviendani kabisa.

Anyway, mpaka kakuletea wewe ujue amekuamini sana kuwa hutamtolea siri yake, hebu jaribu nawe kusimamia ubinadamu wako bhana.
Kuna siku atakuletea mbunye yake uitafune ndipo hutaamini.
Alfajiri njema!!!
 
Wewe na yeye mna mazoea gani hadi aje kwako usiku wa manane na lengo la kuhifadhiwa mshiko...
 
Back
Top Bottom