Nashangaa kila nikiingia humu mazungumzo ni kuhusu hao watu 3!!me naona tunawapa ccm ahueni sana,wanafanya madudu bali hawana wasiwasi kwani wanajua hatutahoji,tupo bize na mapacha 3!!hao wakiangamizwa basi watawatengeneza wengine ili watanzania wawe bize kuangaika na habari za hao watu!ni kama wanatuwekea decoy fulani!!NATAMANI MAANDAMANO NA MAZUNGUMZO YETU YANGEKUWA NI KUIBANA SERIKALI KATIKA YAFUATAYO
MISHAHARA MIDOGO YA WAFANYAKAZI NA MANYANYASWO KAZINI,WATENDAJI WA SERIKALI KUWA WAZEMBE KUPITILIZA,BEI YA UMEME ILIYO JUU MNO,KUINGIZA UMEME NI GHARAMA MNO,BARAZA KUBWA LA MAWAZIRI,WABUNGE ZAIDI YA 100 WA VITI MAALUM WA NINI?,WANANCHI KUKOSA MAJI SAFI KWA UHAKIKA,MISAMAHA YA KODI KWA WAGENI ISIYO NA TIJA,KUSHUKA KWA KIWANGO CHA ELIMU KATIKA TAASISI ZA ELIMU YA JUU WATU WANADESA TU NOWADAYS,UBINAFSI WA VIONGOZI NA WANANCHI,KUCOPY NA KUPASTE KILA KITU KUTOKA NJE,MAADILI MABOVU KATIKA JAMII,HIVI FOLENI YA DAR ZITAISHA LINI?,UCHAFU WA MAZINGIRA ULIOKITHIRI KATIKA MAJIJI YETU,HIVI NI LINI SERIKALI ITAHAMIA DODOMA?,CDA WANAFANYA KAZI GANI?,TUNATAKA TUME HURU YA UCHAGUZI,KWA NINI WABUNGU WAWE MAWAZIRI?MBONA TUNANYIMWA UWAKILISHI!JAMANI MATATIZO NI MENGI KATIKA NCHI HII!WAWEZA KUNISAIDIA KUYAONGEZA KATIKA LIST!!SASA KWA NINI KILA SIKU NI HABARI ZA HAO WATU WATATU!WANAHARAKATI WAUKWELI TUPIGANIE NCHI YETU!!hao w3 hawadeserve hata kutajwa kwenye ndimi zetu!wamefulia!jamii imeshawakataa na hiyo ndo muhimu!nasi wanaforum 2wapotozeee!THEY CANT SEE US

Karibu matatizo yote uliyoyataja na mengine mengi tuu chanzo ni hao mapacha watatu. Mfano unapozungumzia umeme si unanikumbusha Dowans? Sasa tunashughulika na mizizi sio matawi. Upoo?
Humu jf sijui kuna watu wako kwenye payroll ya mapacha watatu???
Kuna jamaa kaniacha hoi sana humu ndani! Eti anasema dr.slaa anarekodi wimbo wa taarabu atauita MAFISADI,kamshirikisha mzee yusuf kwenye chorus,back up wapo akina mbowe,mnyika,lema,lisu,mdee! Nyimbo ina verse kumi,kila verse ni list 1 ya mafisadi! Jumla sasa ana list kumi!!!! Huyu jamaa kiboka aiseee
Kiboka au KABOKA MCHIZI?Huyu jamaa kiboka aiseee
Taipata wapi hiyo nyimbo?
Jamani hiyo avetor yako?can u change please?Taipata wapi hiyo nyimbo?
Taipata wapi hiyo nyimbo?
nenda kwenye lile jengo la vijana la KIFISADI UTAIKUTA!Taipata wapi hiyo nyimbo?