Unatongoza Unamuuliza Demu. Hunitaki?.
Unatongoza unamwambia Demu. Vipi kuhusu ombi langu?
Mbona Kila siku nawapa shule za Hawa viumbe lkn hamuelewi tuu?.
mwanamke yoyote anataka " attention and Desire " yaan mwanamke anataka wewe umtake na ukishaonyesha kumpa hivo viwili, Huwa Sasa Mpira ni wake , anakua na power ya kuexercise u feminine wake .....JAMBO AMBALO MTONGOZAJI HUTAKIWI KULIRUHUSU.
Mwanamke unatakiwa umtongoze katika Angle ya kumfanya yeye akufukizie wewe ,yaan ajione akikukosa atakua kapoteza bahati.
Nadhan inabidi nianze kuwaandilia Vi -PDF niwalete humu.
Vijana hamjui kutongoza kabisa.
Na mbaya zaidi, hujakulia kile kipindi chetu cha kutokua na simu.
Demu anasoma shule ya Mkoa mwingine,
Unaandika Barua yenye Kurasa sita.
Hawa madogo wangeweza kweli?
Sisi Barua nzima ,ingejaa maswali utadhani unafanya post internship examination?
WANAWAKE HAWAPENDI MASWALI, NI NATURAL DEEPEST NEEDS YA WAO KUTOTAKA MASWALI. IN FACT WANADAM TUMEUMBWA, KUTOKUTAKA MASWALI .