Nimechaguliwa diploma Kampala University(KIU)

Nimechaguliwa diploma Kampala University(KIU)

Joined
Apr 26, 2016
Posts
54
Reaction score
7
Jamani nimechaguliwa na NACTE diploma ya medical lab Kampala University (KIU). Nimeskia eti kilikuwa na matatizo.

Je yameisha?
 
Jamani nimechaguliwa na NACTE diploma ya medical lab Kampala University (KIU). Nimeskia eti kilikuwa na matatizo.

Je yameisha?
Waombe wakuamishie KCMC hapo sijui kwa kweli uliomba au ulipangiwa bila kuomba na kama uliomba hapo kwanini kabla ya kuomba ukuja kutuomba Ushauri.
 
Usikilize maneno ya watu ambao Kampala hawaijui vizuri iko vizuri , nenda kasome ,, hospital kubwa sana ipo inajengwa , Nina mdogo wangu yupo huko ....
 
Back
Top Bottom