Sawa brother kwann umeipa kipaumbele hiiWrite your reply...soma bachelor of agriculture economics..
Hiyo ya SUA iko njema kama unapenda kujiajiri... Hiyo lab sina uzoefu nayo ila kama inahusu afya na kama wewe ni mtoto wa mkulima think about it.Wakuu habari zenu namshukuru mungu kwa afya na uzima ninaomba ushauri nimechaguliwa chuo
Bsc agriculture economics and agrb-SUA
Bsc In laboratory science and technology-must(mbeya)
Nimesoma cbg naomba ushauri wakuu ni confirm kozi gani ambayo ipo na umuhimu sana kulingana na nchi yetu inapoelekea naomba kuwasilisha
FactHiyo ya SUA iko njema kama unapenda kujiajiri... Hiyo lab sina uzoefu nayo ila kama inahusu afya na kama wewe ni mtoto wa mkulima think about it.
Hil lab sio ya afya ni technical labNenda Mbeya
Lab hii ni ile ya viwandan na nimefatilia must ndo wanaitoa kwa Mara ya kwanza degree yakeHiyo ya SUA iko njema kama unapenda kujiajiri... Hiyo lab sina uzoefu nayo ila kama inahusu afya na kama wewe ni mtoto wa mkulima think about it.
Uko sahihi, Lab Tech haina ajira nyingi mwishoe anaweza kuishia kwenda kusomea Ualimu ili akawe Mkufunzi huko Mashuleni. Aende SUA tuHil lab sio ya afya ni technical lab
Sawa kiongoziHil lab sio ya afya ni technical lab
Nilijua ni afya. Nenda SUA.Lab hii ni ile ya viwandan na nimefatilia must ndo wanaitoa kwa Mara ya kwanza degree yake
Nenda sua ndugu,ni kozi nzur sana na utajifunza vitu vingi sana ambavyo vitakufanya uweze kujiajiri hata kama ukikosa ajira. Kila la kheri kwenye uchaguzi wako.Wakuu habari zenu namshukuru mungu kwa afya na uzima ninaomba ushauri nimechaguliwa chuo
Bsc agriculture economics and agrb-SUA
Bsc In laboratory science and technology-must(mbeya)
Nimesoma cbg naomba ushauri wakuu ni confirm kozi gani ambayo ipo na umuhimu sana kulingana na nchi yetu inapoelekea naomba kuwasilisha