jamn naamini mko powa na wenye kujisikia vibaya kiafya MUNGU awape wepes,, jaman mmm nimechaguliwa mkwawa univst,,kusoma education ila sikupenda kusoma hiyo kitu nilihitaj human resorc,, na hapa chuon hawana hii course,, so nafanyaje ili nisome ninachokihitaji msaada tafadhal....na chuo gani kizur na njia gani itumike kuhama hapa,, nimejarib kuombq naambiwa niandike barua halafu nisubili majibu huku nikiendelea kusoma daa yani sina poz!!nifanyeje jaman...?..