Scorpio Me
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 6,119
- 7,954
napata txt zake za whatsapp yani inboxMblock kwenye contacts za simu..
siweziBADILI NAMBA YA SIMU
hahaNaona watak kuniblock sasa
Pm yako naona aipokei sms.haha
Unatumia simu gani mkuuJamani kuna mtu nlimblock whatsapp ila nashangaa text zake zinaingia bado huku inbox ya whatsapp...
Hivi kuna njia ambayo mtu anaweza ji unblock...
And huyo mtu hata siko nae karibu kusema ana access na simu yangu labda...
This is weirdoooo meogopa hadi basi,ni uganga au janja ya IT tu...
wala hataUkishatulia hela zetu ndio unadhani ujanja kublock
Jasho la mtu haliliwi kiurahisi
nimeblock kabisa dah,natumia Samsung tu mkuuHuja block, jaribu kuangalia upya pia unatumia cm gani
Kisa cha kublock?!wala hata
namuonaUtakuwa umekosea kitu. Umeblock au umemute? Ukiingia settings->account->privacy-> blocked contacts, unamuona huyo mtu kwenye list?
Hauna namba tofauti za huyo mtu kwenye simu yako? Umeblock zote?