Nimebahatika kupata mke

Nilitaka kusema LadyAj atapumzika kwa usumbufu kumbe bado picha linaendelea
 
Kina dada aliye tayri naomba niulize swali 1 dogo kupitia inbox
 
Some punk ass!!!
 
[emoji10] [emoji10] Pole kupata mke siyo bahati nisawa na kuipigia kura ccm[emoji6] [emoji6]
 
Bro, nilikua nimepigwa BAN ya week nzima aisee... Nilitema cheche kali kwenye ule uzi wa taarifa ya ajali ya wanachama wa CCM Kilimanjaro huko.

Sasa nimerudi.

Ule uzi wako wa yule demu tu ile story nilicheka sana...yule umechukua room, wamekula chips kuku na mdg wake[emoji3][emoji3]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…