Nimebadili msimamo kuhusu September 1

Mkuu hiyo no2 kiboko niko kwenye daladala nimetoa kicheko Abiria wote wamenigeukia,ikabidi nimsomee wa pembeni yangu naye anavunja mbavu daladala lote wanacheka[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ni kweli wale hawana mchezo kabisa
 
Kuna wale jamaa wa kuitwa askari KM ambao hicho ni kikosi maalum cha magereza wenyewe wanaitwa special task hao ni zaidi ya FFU wapo ukonga kule inasemekana nao pia wanaweza wakawepo siku ya tarehe 1... Sasa kwa nini siku hiyo nisinywe Valium ni lale mpaka saa mbili usiku
 
hapo namba mbili ulifikiria nini?🙁🙁
Hacha wewe bwana nikikumbuka ya kule mbagala charambee ya mwaka juzi na kigamboni kwa urasa walivyosambaza mkongoto we acha nikae home tu , nyie nendeni
 
Umetumwa? Tuko tofauti sana,... Wenyewe ndo cc wewe ni wa Lumumba
 
Kukaa kimya nalo nijibu pia, kwa unge kaa kimya ungepungukiwa nn?
 
Duh sasa wote hao wanini?
 

Hakika, umenena vyema. Mwenye masikio na asikie.
 
Watu wa ovyo kabisa na wanaotakiwa kuogopwa ni wanafiki na waongo. Kwa kifupi kabisa uadilifu ni kuwa mkweli, na ukweli ni nguzo ya utakatifu. Neno ukweli katika biblia lipo katika verses 75.

Ukisoma tu hii mada, cha haraka unachokipata katika andiko lake ni kuwa huyu mtu ni mnafiki na mwongo. Angeweza kuandika mawazo yake kadiri ya anavyoamini bila ya kutumia uongo kama alivyofanya.
 
Sisi wengine pamoja na Chadema JF tufanya maandamano yetu humu humu JF.
 
Lazima utakuwa mwanasiasa wewe. Bisha! Anyway una sababu za msingi japo si sana.
 
Sasa unanilazimisha ,sitaki kuandamana sasa
 
Namba 4 ndo sababu ya watu kuandamana,na wapo sahihi..labda useme hapa Rais yupo juu ya sheria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…