mzee baba_tz
New Member
- Mar 27, 2024
- 1
- 35
Nikadhani Niko peke yangu.bado natafuta sehemu uliyo kua kiakili ila napata shida kupapata
ngoja niendelee tafuta
Hawa watoto waliovamia JF ni kichefuchefu kweli, mwingine anataka kuvunja uhusiano na demu Kwa sababu ya sh 20,000/=Nipm namba yake nimtumie iyo ten. Buku ten tu ndo umekuja kumuanzishia uzi mzee wa watu.
Ukimchimba vizuri Huyo Mzee ana Madini,Miaka ya nyuma nilikuwa na mwenye nyumba yaani mzee ,kwanza nyumba tunayokaa ni apartment za 140k na kuendelea zipo 3 na nyumba kubwa mbili moja si chin ya 500k ,bado mzee ana gorofa lake na gari ndogo ila anaendesha mkewe..
Sasa bhana huyu mzee kuomba 10k ni kawaida sana mpaka nashangaa ,mkewe ndio anaendesha magari kutwa hana noma ila sasa mzee ila ni mstaafu ..Mwanae mmoja anasoma nje ya nchi .
Ukiachana na kuomba huyo mzee ni mtu safi maana wala sio mlevi, anapenda utani na watu .
Ten hiyo, mtu kaanzishiwa UziππAmeomba 10k au laki!?
Mwana kuchukulia poa...Ukimchimba vizuri Huyo Mzee ana Madini,
Hao ndio Wazee wa kukaa nao chini kuongea kuhusu life
Hatari sana!Ten hiyo, mtu kaanzishiwa Uziππ