Nimeangamiza jeshi la Kunguni kimasihara

Hilo ni jeshi la wahasi ila sumu ya kuwamaliza ipo, kama umetimia maji ya moto jiandae kuwaona tena watakua wamejificha sehem
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kunguni hawafuati uchafu wala sio dalili ya uchafu kama chawa au mende.Kunguni au "Bed Bugs"ni wadudu wasumbufu wasioambukiza ugonjwa na wapigao kambi kwenye hostels,mahotel,siti za tren,mabasi hata meli na mahospital.

Wadudu hawa huhama na nguo,mabegi,mito nk from one place to another.

Wapigapo kambi mahali movements zao ni usiku na kumkosesha mlengwa usingizi pia kumuacha na uvimbe au muwasho mahali walipouma.

Huzaliana kwa kasi na shida nyingine ni kumuathiri mtu kisaikolojia.Imagine mtu amepanda basi halafu kunguni achomoke kwenye koti hadharani!

Tiba ni hizo za maji ya moto au mchanganyiko wa kemikali nyinginezo na sabuni,chumvi ama paraffins

Hata Kempsik na Serena unaweza kuwakuta wanatesa watu wengi mpaka wengine hudiriki kuchoma godoro au kuhama vyumba

You can google to find more informations about these notorious bugs
 
hadi uchafu wako pia unakuja kutuambia
Hawa wadudu, unawabeba kutokea masofa pendwa ya bar, daladala, bajaj, hata bodaboda unaweza kuwabeba, yaani ni very easy to transfer na a nightmare kuvunja nao undugu.
Beki 3, aweza kuja nao toka kwao, watoto wa shule boarding waweza kukuhamishia, in fact hakuna formula utawapataje.

Everyday is Saturday.................................. 😎
 
Serena hamna huo ujinga
 
Sheria za hao wadudu wakiwa wacheche wanajificha ili wazaliane baada ya apo kazi unayo kama kawa
 
Serena hamna huo ujinga
Hujasafiri wewe wala hujui dunia ya hao wadudu.Hotel hufanya fumigation na hata kuuza bed and mattresses hali hiyo ikitokea.
Ni wageni wasio na mualiko popote pale
 
Hawa wadudu ni wasumbufu sana, ni jambo jema kuwadhibiti/tokomeza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…