Nimeamua tuachane!

Ukiinuka si tuna kaa, that is the game..........
 
sikusema una matatizo wewe?
Wewe ndio naamini una matatizo! kujaji pasipo tafiti na ushahidi, kuamini kila ulilo sikia! Tatizo kubwa ulilo nalo hujui maana ya JF. Sikia nikwambie kiuhalisia msichana wangu nasoma sms zake mwaka wa pili sasa sijawahi kwaruzana naye! ila siwezi jibu sms aliyotumiwa au siwezi pokea simu aliyopigiwa japo yeye kwangu anapokea na anajibu sms napengine akiwa na shaka anapiga na kuwa huru, tunashare vingi ukiwemo ulinzi wa uhai sasa iweje simu, kwa kuwa wewe hubaki njia kuu ndio maana huwezi kuacha simu yako mikononi mwa bwana yako, jaribu hata saa moja kama utaweza? alafu usifikirie wanaume wote ni sawa na huyo bwana yako wengine tunaomba na kupewa bila hata nguvu na command kama unavyofanyiwa wewe! namiliki karibia kila password yake hadi ya ATM card naye hivyo hivyo sembuse mawasiliano, pole sana dada!!!!
Unakumbuka ulivyoshabikia yule mkaka aliye muua mkewe kisa kunyimwa kukagua simu?
Ref uzi wa Money Stunna.
Ulishindwa kuelewa kitu kimoja inapokuja topic inaweza kuwa imetungwa au ni ya kweli, pengine unashindwa kuelewa si lazima niwe nafungamana na wazo lako, pia huelewi kuwa mjadala hautakuwa na maana kama hakuna wanaopinga na wanao kubali sasa ulitaka niamini mawazo yako kuwa ni dhambi mme kushika simu ya mke wake ila mengine yote washee mfano uhai, ugonjwa n.k ila ukifika kwenye simu huruhusiwi kugusa! kuna maana gani mtu kuwa mwili mmoja sasa? mke na mme ni mwili mmoja hata aje nani na anaomba nini lazima mlidhie nyote wawili atume sms mtasoma nyote na ikiwezekana mtajibu nyote! wewe nahisi ni wale ambao mnaishi tu bila mafundisho ya dini na ndoa iliyo barikiwa na Mola ndio maana unakunya tu bila kujua ndoa ni nini?
Nilisema utakuwa mbabe na una gubu.
Msichana wangu ana raha sana na hata hivyo sijui maana ya gubu ila ubabe sina!
Of course lazima akucokmpare na X.
Sio kunifanya nijue ananilinganisha, hili ni tatizo la watu wengi kuwaambia wapenzi wao habari za ma-x kitu ambacho si cha kiungwana sana ujue! na mimi kujitolea mfano si kwamba kimenikuta la hasha ila nikuwafunza watu kupitia mifano na si vizuri mifano mibaya utolee watu wengine pia ukipitia thread zangu nyingi nimejitolea mifano pengine utaniona mzinzi, pengine utaniona mwadilifu, pengine mpambanaji, pengine mganga, pengine kijana, pengine mzee, pengine sijaoa, pengine nimeoa, pengine masikini, pengine tajiri, n.k mwisho wa siku hii ni JF JUA HILO TU!
Shida yake yeye alisema kwa sauti, lkn wengine tuna compare kimoyo moyo.
Hilo ndio kosa wengi wetu hasa wavulana kwa taarifa yako tunakosea, better mwambie mwenzako kwa namna tofauti ili abadilike kuliko kumtaja mtu aliyewahi kugegeda/mgegeda!

Ukimuacha utamsaidia pia, n it will be good riddance.
Sina hakika lakini naamini ataumia sana hata kama ntamtania! miaka kazaa tumekaa tulisha zoeana na kulidhiana kwa mapungufu tuliyo nayo kwa ujumla wetu wewe siyo jambo jepesi kama wewe na huyo wako!
 
Go on... Begone... Byebye...!excel ebu mwekee ile vdeo ya fading by rihana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…