Nimeamua mwenyewe

Joined
Jan 11, 2013
Posts
5
Reaction score
1
Kupigania haki ya wanyonge wa nchi hii ni jukumu la kila mtanzania, si halali hata kidogo CCM kutumia hila kukihujumu chama makini kama CHADEMA,ikumbukwe kuwa sisi vijana tunaendelea kuteseka kwa upuuzi wa viongozi wabovu wa CCM, hayupo hata mmoja atakayenyamaza na aache upuuzi huu uendelee. NIMEAMUA MWENYEWE na nitasimamia ukweli hadi kinaeleweka. Kwa pamoja tutalijenga taifa mpya kuanzia 2015.
 
LOL

Konyagi msinywe wakati wa jua kali ona sasa yanakukuta kijana :biggrin:
 
Safi sana , usikatishwe tamaa na wapuuzi wachache sana wanaojali matumbo yao tu ! Na humu Jf pia wamo , lakini nikutoe Mashaka kuwa hawazidi hata 10 japo kuna tetesi kwamba kila mmoja ana Id's zaidi ya 50 !
 

Ameamua hayo aliyoyaainisha kwa rangi nyekundu.Kaza buti Gwanda.Tuko nyuma yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…