Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,302
- 62,493
Sawa, uko wapi......katika harakati zangu za kuwa na sampuli mbalimbali; wenye chura matata, warefu, wafupi, wembamba, wanene n.k, nimeona hayo maisha ni ubatili mtupu.
Mwisho wa siku wanakuwa hawana shukrani, zaidi ya kuwa wapigaji tu; wengi wanaingia kwenye uhusiano kama ajira.
Utasikia bebii nimeishiwa hiki, mara mtoto amemeza mtungi wa gesi, mara natakiwa saluni n.k.
Kwa ujumla, walikuwa wananifanya kichwa kuchanganya mafaili na moyo kwenda mbio.
Kwa sasa nimeamua kubaki njia kuu nile mafao yangu ya uzeeni na mke wangu; waswahili wanasema, uliyeokota naye kuni ndio utakayeota naye moto.
Kwa michepuko tuliozaa pamoja, tuonane baada ya miaka 20 katika kuwaozesha hao watoto wetu; msisahau kuniletea kadi; hakutakuwa na kupasha kiporo.
Kijiti namkabizi kijana mmoja machachari hapa jukwaani, ikiwezekana mpendekezeni.
Mstaafu baharia,
Yupo kwa mke wake piga ile nambaπSawa, uko wapi......
Nitajitahidi kuepuka vishawishiWatu wakiacha Pombe/Michepuko huwa hawasemi
ππ»ππ»ππ»katika harakati zangu za kuwa na sampuli mbalimbali; wenye chura matata, warefu, wafupi, wembamba, wanene n.k, nimeona hayo maisha ni ubatili mtupu.
Mwisho wa siku wanakuwa hawana shukrani, zaidi ya kuwa wapigaji tu; wengi wanaingia kwenye uhusiano kama ajira.
Utasikia bebii nimeishiwa hiki, mara mtoto amemeza mtungi wa gesi, mara natakiwa saluni n.k.
Kwa ujumla, walikuwa wananifanya kichwa kuchanganya mafaili na moyo kwenda mbio.
Kwa sasa nimeamua kubaki njia kuu nile mafao yangu ya uzeeni na mke wangu; waswahili wanasema, uliyeokota naye kuni ndio utakayeota naye moto.
Kwa michepuko tuliozaa pamoja, tuonane baada ya miaka 20 katika kuwaozesha hao watoto wetu; msisahau kuniletea kadi; hakutakuwa na kupasha kiporo.
Kijiti namkabizi kijana mmoja machachari hapa jukwaani, ikiwezekana mpendekezeni.
Mstaafu baharia,
Hapokei, atakua kakalia simu.....Yupo kwa mke wake piga ile nambaπ
Nimeshastaafu, kama unataka kuubiriwa injili nitafute kwa ile namba ya zamaniSawa, uko wapi......
Kweli mkuu, inabidi kufanya maamuzi magumuSio kwel mkuu
Nakusubiri unisindikize twende woteUpime na VVU Kwanza.
Nguvu pendwaSema tu hela imepungua
Njoo second floor 302 unihubirieNimeshastaafu, kama unataka kuubiriwa injili nitafute kwa ile namba ya zamani
Hapokei, atakua kakalia simu.....
Najitahidi kuzuia tamaa za kuzaliwa nazoSema tu hela imepungua