kid ink tz
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 307
- 320
Sina kibamia. Kuhusu game nilikuwa namtekenya vilivio Mara nyingi goli la pili alikuwa hatoboi sababu sikojoi haraka ana dai kachokaSasa ulikuwa unamtekenya na kibamia chako alafu unamuacha na hamu, unadhani yeye ni mjinga?
LabdaAnahofia ukimzoea utamchoka muoe ndo solution
But bado cjakuelewaSio inafika sometimes
Yani hatupendi sex wenfi wanavumilia kwa sababu kwahyo si mara zote utavumiliwa
Labda. Maana nilisha wahi kaa naye week kama mke wangu but nilivio ona mambo magumu nika amua kumwambia aludi kwao. Nili mludisha sababu mm maisha bado. labda chanzo ndio hichoHamu zinakata, genye zinaisha mapenzi huanza kufa taratibu pale akigundua aliedhani ndie kumbe siye
Kwa kifupi matarajio yake hukuyafikia labda alitarajia utamuoa ama ataenjoi mkwanja lkn pengine hukuyafanikisha
Kaamua kukuficha dyudyu yake
Hakuna mwanamke anaye vumilia kibamia miaka miwiliSasa ulikuwa unamtekenya na kibamia chako alafu unamuacha na hamu, unadhani yeye ni mjinga?
Jibu unalo😂😂Labda. Maana nilisha wahi kaa naye week kama mke wangu but nilivio ona mambo magumu nika amua kumwambia aludi kwao. Nili mludisha sababu mm maisha bado. labda chanzo ndio hicho
Kinacho Fanya mapenz yaitwe mapenz ni nini. Unaweza mpenda mwanaume ambaye hasimamishiWewe sema umeachwa na si umeacha.
Hivi kuwa na mahusiano na mtu lazima kufanya mapenzi?
Kinacho Fanya mapenz yaitwe mapenz ni nini. Unaweza mpenda mwanaume ambaye hasimamishi