Nakushauri bora kununua kama unamalengo ya muda mrefu.
Maana sio ghali kihivyoo
Bora ununue 70% ya ardhi kisha inayobakia ndio ukodi.
Siku hizi watu wamebadilika sana sio wote,ila baadhi wanaroho mbaya sana pale unapopata tu,utasikia anakatisha mkataba mwakani anataka kulima yeye.Na wateja wengi wanafuata mtu mashambani,sasa akichukua yeye ujue pia unapoteza wateja.Sasa ni bora ukodi baadhi ya ukubwa wa eneo na hapo hapo nunua eneo lako mwenyewe