Kwa kifupi unaonekana bado unampenda ila unachofanya ni drama. Na hichi kitu unaonekana una enjoy kutoka moyoni
Ila kuna muda utafika mwenzio akiacha kukutafuta na kukaa kimya utaanza kuna muda utaanza kumfukiria huyu mtu anaendeleaje utaanza kupatwa na uoga huyu mtu mbona hanitafuti siku ambayo utagundua mwenzio amesha move on na kimaisha yupo mbali utaanza patwa na maumivu